Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo za
Chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA Bw. Masod Saanane akizungumza na
waandishi wa habari kwenye ukumbi wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam
leo, kulia ni katibu mkuu wa TASWA Amir Mhando
MAJINA YA WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO YA WANAMICHEZO BORA
MWAKA 2011/MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2011, ITAKAYOFANYIKA JUNI 14
MWAKA HUU
KIKAPU:
WANAWAKE
DORITHA MBUNDA :-JKT QUEENS
EVODIA KAZINJA:-JKT QUEENS
FARAJA MALAKI:-JESHI STARS
WANAUME
ALPHA KISUSI-Vijana
FILBERT MWAIPUNGU:-ABC
GILBERT BATUNGI:-ABC
NETIBOLI:
LILIAN SYLIDION
DORITHA MBUNDA
GOFU
WANAWAKE:
Madina Iddi (Umri miaka 27)
Hawa Wanyeche (Umri miaka 26)
Ayne Magombe (Umri miaka 24)
WANAUME:
Frank Roman
Nuru Mollel
Issac Anania
GOFU WA
KULIPWA:
FADHILI SAIDI NKYA.
YASINI SALEHE
HASSANI KADIO
OLIMPIKI
MAALUM
Ahmada Bakar
Amina Daud Simba-kisahani na tufe
Othman Ally Othman-mkuki,
kisahani na tufe.
Cio..
PARALIMPIKI
WANAUME
ZAHARANI MWENEMTI
JOSEPH NZIKU
YOHANA MWILA
WANAWAKE
FAUDHIA CHAFUMBWE
SIWEMA KILYENYI
JANETH MADISE
NGUMI ZA
RIDHAA
SULEIMAN SALUM KIDUNDA
VICTOR NJAITI
ABDALAH KASSIM
CIO…
WAOGELEAJI
(WANAWAKE)
MAGDALENA MOSHI
GOURI KOTECHA
MARIAM FOUM
WANAUME
AMMAAR GHADIYALI
OMARI ABDALLAH
JUDO...
MBAROUK SELEMANI MBAROUK
UNDER 81KG MEN JUDO PLAYER
MOHAMED KHAMIS JUMA
OVER 90KG MEN JUDO PLAYER
AZZAN HUSSEIN KHAMIS
UNDER 60KG Judo player
CIO…
WAVU…
WANAWAKE
ZUHURA HASSAN-JESHI STARS
THERESIA Ojode -JESHI STARS DAR
EVERLYNE ALBERT- MAGEREZA
WANAUME
MBWANA ALLY- MZINGA
CORPORATION - MOROGORO
KEVIN PETER -MAGEREZA – DAR
FARHAN ABUBAKAR- MAFUNZO ZNZ
CIO…
NGUMI ZA KULIPWA
Benson Mwakyembe
Nasibu Ramadhan
Francis Cheka
Nassib Ramadhan
Fadhil Majia
TENISI:
WANAUME
WAZIRI SALUMU
OMARY ABDALAH
HASSANI KASSIMU
WANAWAKE
REHEMA ATHUMANI
MKUNDE IDDY
VIOLET PETER
Cio…
BAISKELI
Wanawake
Sophia Hussein
Sophia Anderson
WANAUME:
Richard Laizer
Hamisi Hussein
WACHEZAJI
WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE
Henry Joseph-Soka
Mbwana Samatta-Soka
Sophia Mwasikili-Soka
MCHEZAJI
BORA CHIPUKIZI
Theresia Ojode- wavu (Jeshi
Stars)
SHOMARI KAPOMBE- (soka) SIMBA
Salum Abubakari-Azam (soka)
MCHEZAJI
WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
Haruna Niyonzima-Yanga (soka)
Kipre Tchetche-Azam (soka)
Emmanuel Okwi-Simba (soka).
SOKA (WANAWAKE)
Asha Rashid-Mburahati Queens
Mwanahamisi Omary-Mburahati
Queens
Fatuma Mustapha-Sayari
Ito Mlenzi-JKT
WANAUME
John Bocco-Azam
Aggrey Morris-Azam
Juma Kaseja-Simba
RIADHA
WANAWAKE
Zakia Mrisho
Mary Naali
Jaqueline Sakila
WANAUME
Dickson Marwa
Alphonce Felix
MIKONO
WANAWAKE
Abinery Kusencha-JKT Ruvu
Kazad Mtong-Magereza Kiwira
Faraji Shaibu Khamis-Nyuki
Zbar
WANAUME:
Doris Mangara-Magereza Kiwira
Zakia Seif-Ngome Dar
Mary Kimiti-Magereza Kiwira.
Cio…
KRIKETI
WANAWAKE
MoniCa
Pascal
Asha
Daudi
Esther
Wallace
WANAUME
Kassimu
Nassoro
Benson
Mwita
Riziki
Kiseto
TUZO YA HESHIMA-ITATANGAZWA SIKU
HIYO
MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA
2011-ATAPATIKANA MIONGONI MWA WASHINDI WA KILA MCHEZO.
MASOUD SANAN-MWENYEKITI KAMATI
YATUZO
08/06/2012
No comments:
Post a Comment