*S*
*iku chache baada ya kutemwa na klabu yake ya Yanga, nahodha wa zamani wa
timu ya Taifa ya Tanzania Shedrack Nsajigwa sasa yupo nchini Kenya akifanya
mazungumzo ya kujiunga na klabu kongwe ya nchi hiyo Gor Mahia.*
Taarifa rasmi nilizozipata kutoka nchini Kenya zinasema kwamba Nsajigwa
ametua Kenya juzi na jana amekutana na viongozi wa klabu ya Gor Mahia na so
far mazungumzo yanaenda vizuri na muda wowote wanaweza kufikia makubaliano
na Nsajigwa akajiunga na mtanzania mwenzie ambaye walikuwa wakicheza wote
Yanga na timu ya Taifa, Ivo Mapunda.
No comments:
Post a Comment