*M*
*ABINGWA wa Kombe la Mapinduzi Azam Fc Jumatatu ya inatarajiwa kuanza
kujinoa kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi huu.*
Msemaji wa msaidizi wa Azam Fc Jaffer Idd Maganga amesema kwamba wachezaji
wote wanatakiwa kuripoti kambini siku hiyo tayari kuanza mazoezi yao.Azam
Fc inayonolewa na Muingereza Stewart Hall, pia ni wa shindi wa pili wa ligi
kuu soka Tanzania Bara
No comments:
Post a Comment