NEW HIT: CENTRAL ZONE ft G NAKO & JOS MTAMBO - NAUZA HISIA
Tongwe records presents to Y’all Hip Hop fans worldwide a new,fresh and upcoming crew
Named “Central Zone” from the urban streetz of Dodoma,we talkin’ bout Area C Baby….
Kona iz their leader,Toxic and Moni complete their Posse…
Premierin’ their second single called “Nauza Hisia” featurin’ G-Nako from Nako 2 Nako
Souljahz and Jos Mtambo from Kigambonino…
Provin’ to tha non-believerz that Hip Hop Reignz Supreme…Au Sio?Au Sio? Yeah!
Wana toka Pande za Area C Dodoma,wakitambulisha Mkono,Kazi,Project,Mpango
Mzima,Pini Jipya liitwalo “Nauza Hisia”…Wakishirikiana sambamba na G-Nako wa
N2N Souljahz,pamoja na Jos Mtambo wa Kigambonino…Beatz imefumwa na J-Ryder
Kama kawa Sikiliza Ujumbe na Midananndo ya Wasanii
Upate Hisia zinazouzwa…Noma!Together We Stand strong,so let’z do this,
Pamoko tunakuwa Ngilima,kwa hiyo kama vp sana tu,Oi!Oi!Oi!
J-Murder….Tongwe!!!
http://www.hulkshre.com
http;//www.filexmmari1994.blogspot.com
No comments:
Post a Comment