Staa wa muziki wa kizazi kipya
Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amevuta mkoko wa
Kijanja wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni 60 keshi.
Akizungumza na Teentz.com muda
mfupi baada ya kupokea ‘dinga’ hiyo aina ya Land Cruiser
Prado TX kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa mpango mzima
wa kuingia kwake hapa Bongo, Diamond alifunguka
kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo
lakini kuna mambo kadhaa yakawa …
No comments:
Post a Comment