Naibu meya Gervas Ndaki (kushoto) akisikiliza vijana kwa
umakini kabisa
Dogo Scooby akilishambulia jukwaa
Huyu mama akaamua kuonesha ushirikiano wa kutosha
Hapa makubaliano na msanii maarufu wa Bongo flavour Squeezer
yakawa yanaendelea kabla hajafanya show
Anajiita Raisi wa Iringa akifanya makamuzi vyema kabisa
Kilikuwepo chumba cha sindano ambapo mtu yoyote aliruhusiwa
kwenda kupima afya yake
Je ukitazama vijana hao utagundua kuna aliyeathirika?
No comments:
Post a Comment