Mke wa sajuki (Wastara)Ambaye yupo india kwa sasa amezungumza mumewe (Sajuki)amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu hai ya sasa ya Sajuki,''AMESEMA kwa kwei hali imebadilika na nilitegemea kuona hali nzuri zaidi ya leo,ni siku 5 toka tumekuja huku india,,sajuki amebadiika sana kwa sababu siku tuipoondoka Tanzania hai yake ilikuwa mbaya hata rangi ilibadiika lakini kwa sasa amerudi kwenye hali ya kawaida.
hayo ndio yaliyokuwa maneno ya mke wa Sajuki (Wastara)
2 comments:
tumshukuru mola kwa kila jambo
tumshukuru Mola
Post a Comment