WANANCHI WA MALI WAVAMIA IKULU YA RAISI WAO DIANCOUNDA TRAORE JUZI AMBAPO ILIKUWA KAMA MZAA WAANDAMANAJI HAO WALIOKUWA NA HASIRA WALIVAMIA IKULU YA RAISI WA NCHI HIYO NA KUMPIGA KIPIGO RAISI HUYO HUKU WALINZI WAKE WAKITIZAMA HASIRA ZA RAIA HAO ZILIZOSABABISHWA NA KITENDOA CHA JUMUIYA YA KIUCHUMI YA NCHI ZA AFRICA MAGHARIBI(ECOWAS)
No comments:
Post a Comment