• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, September 7, 2016

    NAY: MIMI NA SHAMSA PENZI KAMA KAWA ...LICHA YA KUOLEWA…


    MAKUBWA! Licha ya hivi karibuni staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford kufunga ndoa na mfanyabiashara maarufu Bongo, Rashid Said ‘Chid Mapenzi’, aliyekuwa mpenzi wa mwanadada huyo Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kusema bado penzi lake na mrembo huyo litaendelea kama kawa, Risasi Mchanganyiko linakuwa la kwanza kukudondoshea. ALIANZA KWA KUKACHA HARUSI Katika harusi ya Shamsa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita msanii huyo hakuhudhuria kabisa jambo ambalo lilisababisha gumzo kwa baadhi ya waalikwa wakiwemo wasanii wakidai kwamba ameogopa na kuona aibu

    No comments:

    3500K