• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, December 10, 2014

    SNURA ATUMIKA KUTAPELI


    *MSANII* wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu. *Msanii wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi.* Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Snura alisema aliacha kutumia namba ya awali kwa muda wa miezi miwili baada ya kupotea ambapo hivi karibuni ndipo alipoanza kupata malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kwamba anawaomba fedha kwa madai kwamba mama yake anaumwa. “Kuna mtu sijui alifanyaje mpaka akawa anaitumia hiyo namba kibaya zaidi anatapeli watu hela na kujifanya ni mimi, imeniuma sana jamani

    No comments:

    3500K