• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, December 10, 2014

    MLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA



    *MSANII* anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Yusuf Mlela ambaye amekuwa akidaiwa kutumia madawa ya kulevya maarufu kama unga, amesema utofauti wa muonekano wake kwa sasa siyo kwa sababu ya uteja, bali inatokana na umri wake kusogea. *Msanii wa filamu Bongo, Yusuf Mlela.* “Unajua mtu unavyozidi kukua na muonekano nao unabadilika, lakini itafikia kipindi nitakuwa sawa tu hivyo naomba mashabiki wangu waelewe kwamba mimi siyo teja na sijawahi kutumia ‘unga’ hizo ni habari za kizushi tu,”alisema Mlela

    No comments:

    3500K