• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, June 11, 2014

    SALMA JABU(NISHA) ASIFIWA KWA KUWA MSANII ANAYEVAA KWA HESHIMA NA KUJITOA KWA JAMIII


    Yasemekana msanii Salma jabu nisha ndio msanii wa kike anaye jiheshimu kupita kiasi kwa mavazi yake na mashabiki wakimpenda kila siku na kuahidi kumssuport kwa tabia yake hiyo na wanasema kweli yeye kioo cha jamii kwa kuwa hana makundi na hana tabia ya kujibizana na watu kwenye mitandao walipo ulizwa wasanii wenyewe walisema ni kweli Nisha ni msanii anayehishimiwa sana sasa hivi mpaka mauzo yake yameongezeka mara dufu sokoni mwenyew anasema namshukuru mungu kwa kila jambo.Huyu ndio Salma Jabu ama Nisha

    No comments:

    3500K