• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, December 3, 2013

    Wezi wamkosesha raha Izzo Bizness baada ya kuiba vifaa vya Internet Cafe yake iliyopo Mkoan Mbeya

    Rapper na Mjasiriamali Emannuel Simwinga aka Izzo Bizness hivi karibu alipatwa hasara kubwa kwenye Internet Cafe iliyopo Mkoani Mbeya,baada ya wezi kuvunja na kuiba vifaa vya internet Cafe vikiwemo computer sita zinazogharimu jumla ya shillingi za Tanzania 2,700,000. Kupitia kwenye instagram amepost picha ya Internet Cafe na kuandika jinsi alivyopokea taarifa za kuibiwa vifaa vyake na kuwataka wananchi wamsaidie. * ' Leo ni siku mbaya sana kwangu na familia yangu pia nimepata taarifa za kuvunjiwa na kuibiwa computer sita katika ofisi yangu iliyopo mbeya maeneo ya chuo cha (TEKU)

    No comments:

    3500K