• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, December 9, 2013

    DIAMOND NA NGASSA KWENYE PIPA

    Kila la heri mwana; Mrisho Ngassa alikutana na Diamond Plutinumz jana jioni kwenye Ndege wakati timu ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars ikisafiri kutoka Mombasa kwenda Nairobi, tayari kwa mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ya wenyeji, Kenya Jumanne Uwanja wa Kenyatta, Machakos. Stars ilicheza na Uganda juzi, The Cranes Uwanja wa County ya Mombasa, zamani Manispaa na kuitoa kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90, wakati Diamond alifanya onyesho usiku wa siku hiyo ufukwe wa Big Tree Resort,

    No comments:

    3500K