• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, November 26, 2013

    RAIS KIKWETE AKUTANA MA JOPO LA USULUHISHI WA MIGOGORO

    *Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa Afrika kuhusu linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano **anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo Novemba 25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni mwenyekiti wa Jopo **hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya kufanya hivyo hivi karibuni **huko Blantyre. * *Picha na Ikulu*

    No comments:

    3500K