• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, November 1, 2013

    KAA TAYARI KWA UJIO HUU MPYA KUTOKA KWA C-LOW FT. BEN POL "ANY TIME"


    Kaa tayari kwa ujio huu mpya kutoka kwa msanii wa kizazi kipya maarufu kama C-Low akiwa amemshirikisha mwanamuziki Ben Pol na ngoma imepewa jina la Any Time.
    Kwa sasa C-Low anatamba na ngoma yake ya Side B ambayo alimshirikisha Yard bash pamoja na Tammy The Baddest.

    No comments:

    3500K