• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, November 27, 2013

    HII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...CHEKI HAPA

    Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi kumkashifu mara nyingi sababu ya mdomo wake. Kwangu mimi sioni tatizo maana ndivyo alivyo umbwa na je alikuwa anauliza wakuandika hivyo kweli? Au ndo kutupa cha kuongela? All in all he rocks big time being one of the most successful artists in East Africa pamoja na 'DoMo'

    No comments:

    3500K