• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 18, 2013

    RAY C AFUNGUKA NA KUSEMA ANATAKA BOYFRIEND WA KIHINDI..!!

    STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amefunguka kupitia mtandao wa instragram kuwa anahitaji kuwa na boyfriend mwenye asili ya Kihindi kwa sababu wana mapenzi ya ukweli baaya ya kuangalia filamu zao.

    Mfano wa mwanaume wa Kihindi kama huyu amatakaye Ray C.
    Ray C alipost kipande cha filamu hiyo na kuandika…Daaaamn!!!!i want an indian boyfriend right nowwww!!!So romantic!!!ths movie is crazy......on my own in my Bollywood Room…
    Huku baadhi ya mashabiki wake wakiwa tofauti na mawazo yake ambapo walitoa comment zao kama hivi:

    • safiazungu @janiaally si mchezo 5d 
    • zaynamiraji hawawezi michezo yetu.....ata kuboree 5d 
    • kivuli_the_oxgen Unapenda Mumbai.@ 5d 
    • mantisa_man jab tak hae jaan_saans me ter saans milito noma thana da best song in da movie @akki_iam @janiaally 5d 
    • mantisa_man @rayc1982 5d 
    • citronellaboutique Inaitwaje hiyo movie? 4d 
    • matikibokoyao Mmh sitaki hata kuwasikia niwabaguzi kufa mtu waindi wakimuona black people shurt wana anza kuku cheka wengine wanatema mate ht km alikuwa ana kula ana acha anakusha ngaa siwanaume wala wana wake wanamshangaa mtu mweusi km kima siwapendi mbwa hawa ila mi siwakopesha mpk mabao wanakulaga kwangu mie yani wanakera in short mmh wapende tuu tena ukionekan unaongozan na muindi mwanaume wanafikra potof wanajua unaenda kuchakachua duh siwataki ht buree @rayc1982 4d 
    • rayc1982 Hihihihi duh afu tena uko kwenye nchi Yao daaaaah pole my dia sikujua wako hivyo mbona hata wao ni weusi tena wengine weusi kuliko hata sisi umenifanya nipunguze mapenzi Kwao ingawa nishawahi kuwa na boyfriend wa kihindi but alikuwa poa sana... @matikibokoyao 3d

    No comments:

    3500K