
Habari za kuaminika kutoka katika vyanzo vya habari zinasema kuwa
aliyekuwa mwakilishi wa shindano la Big Brother Africa’BBA’The
Chase’2013 kutoka Bongo Ammy Nando aliyefukuzwa katika jumba hilo kwa
utomvu wa nidhamu anategemea kuiwakilisha tena nchi yake kwa mara
nyingine mwakani 2014.

Nando atakuwa anaiwakilisha Tanzania katika msimu wa 9 wa Big Brother
Africa show, tagged Stars BBA na kwamba inasemekana staa huyo amekubali
kuiwakilisha TZ mwakani.…

Habari
za kuaminika kutoka katika vyanzo vya habari zinasema kuwa aliyekuwa
mwakilishi wa shindano la Big Brother Africa’BBA’The Chase’2013 kutoka
Bongo Ammy Nando aliyefukuzwa katika jumba hilo kwa utomvu wa nidhamu
anategemea kuiwakilisha tena nchi yake kwa mara nyingine mwakani 2014.

Nando
atakuwa anaiwakilisha Tanzania katika msimu wa 9 wa Big Brother Africa
show, tagged Stars BBA na kwamba inasemekana staa huyo amekubali
kuiwakilisha TZ mwakani.

Nando
alifukuzwa katika jumba hilo baada ya kutokea ugomvi kati yake na
mshiriki kutoka nchini Ghana Elikem na kwamba alimuomba msamaha siku ya
pati ya fainali ya shindano hilo.
No comments:
Post a Comment