new newz
Waziri wa ujenzi Mh. Pombe Magufuli amesema kuwa mradi wa
ujenzi wa nyumba kwa ajili ya kuwaauzia watanzania hasa wafanyakazi
itakua njia moja wapo ya kukomesha vitendo vya rushwa.
Je, ni kweli hii itamaliza vitendo vya rushwa nchini? Tupe maoni yako
Waziri wa ujenzi Mh. Pombe Magufuli amesema kuwa mradi wa ujenzi wa nyumba kwa ajili ya kuwaauzia watanzania hasa wafanyakazi itakua njia moja wapo ya kukomesha vitendo vya rushwa.
Je, ni kweli hii itamaliza vitendo vya rushwa nchini? Tupe maoni yako
No comments:
Post a Comment