• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, January 9, 2013

    WEMA SEPETU ADAI ALIKUWA BIZE STUDIO AKIINGIZA WIMBO NDIO MAANA HAKUMZIKA SAJUKI

    chanzo sangafesto.blogspot.com HABARI MPASUKO

    Msanii anayefanya sanaa ya Uwigizaji hapa Nchini maarufu kwa jina la Wema Isaack Sepetu inasadikika kuwa hakuonekena kwenya Mazishi ya marehemu Juma Issa Kilowoko au maarufu kama Sajuki yaliyo fanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam siku ya tarehe 4 Januari mwaka huu.
    WEMA SEPETU AKIWA NA MENEJA WAKE...
    Tukio hilo lilizua minong'ono kutoka kwa mashabiki wake pamoja na mastaa wenzake ambapo walishangazwa na Wema kutokuwepo msibani....
    Meneja wa Wema Sepetu ambaye ni Bwana Martin Kadinda alisema kuwa sababu iliyomfanya mwanadada Wema kushindwa kufika msibani ni kuwa siku ambayo marehemu Sajuki anafariki dada yake na Wema nae alikuwa amejifungua Mtoto.

    Pia alidai kuwa siku ambayo Sajuki anazikwa Wemaalikuwa Studio akirekodi ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuitoa mwanzoni mwa mwaka huu ili na yeye ajiweke sawa katika tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya.

    No comments:

    3500K