• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Saturday, January 26, 2013

    KUHUSU USHIRIKINA ULIOTOKEA JANA USIKU MTWARA..MWANDISHI ALIYESHUHUDIA ATOA YPTE



    Comment [image: Picture] "Ungo" Jana, mwandishi wa habari wa kituo cha Channel TEN, John Kasembe anayewakilisha mkoa wa Mtwara, alijeruhiwa katika vurugu zilizozuka baina ya wananchi na askari. Kituo cha redio cha PRIDE FM cha mkoani Mtwara, katika kipindi chake cha asubuhi ya leo, mtangazaji Andrew Mturi na Ramadhani Makoleko, walifanya udadisi kuhusu vurugu hizo na pia kuzungumza na John Kasembe.

    No comments:

    3500K