• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, January 7, 2013

    DULLY AFUNGUKA JUU UA KUTOKUWEPO KWA OMMY DIMPOZ KWENYE COVER YA UTAMU


    siku kadhaa baada ya kuachia utamu pamoja na cover ya single hiyo kutoka, huku Ommy Dompoz akiwa hayupo katika cover hiyo, kupitia Top 20 ya Clouds Fm, dully amesema sababu zilizofanya Dim[poz asiwepo kwenye cover
    " ilikua ni haraka haraka siku ambayo tulikua tunaenda kupiga picha, na tulikua hatujaipanga, so bahati mbaya Ommy akawa yupo ubalozini akshindwa kuwepo kwasababu tulienda kupiga picha asubuhi, ila mi sina biff na mtu yoyote na wao mi niliwalea kabla ya kuwa na majina mpaka leo hii wana majina yao ndo maana nikiwaomba collable hawawezi kataa" amesema dully...zaidi msikilize hapo chini

    No comments:

    3500K