*DODOMA*
*JUMLA ya watu 157 wamefariki katika ajali 130 zilizotokea mkoani hapa
katika kipindi cha mwaka jana huku idadi kubwa ya vifo ikiwa ni ya wanawake.
*
* *
Mkuu wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Dodoma, Peter Sima
amefafanua kuwa katika kipindi hicho zilitokea jumla ya ajali 446 ambapo
kati ya hizo zilisababisha vifo vya watu 157. Amesema kati ya watu
waliofariki wanawake walikuwa 127 na wanaume 30 huku majeruhi wakiwa 550 na
kati yao wanaume wakiwa 142 na wanawake 408.
No comments:
Post a Comment