• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, December 17, 2012

    MSANII WA KIKE ANAYELIPWA ZAIDI HAPA AFRIKA YA MASHARIKI



    Msanii Size 8 kutoka Kenya yasemekana yeye ndo anaweza kuwa msanii wa kike anayelipwa zaidi hivi sasa Africa ya Mashariki.Hii ni kutokana na mbali na muziki anafanya deal na makampuni makubwa.Size 8 hivi sasa ni kama mtangazaji kwenye Kampeni kubwa inayoendelea nchini humo 'Niko Na SafariCom Campagn', ni mtangazaji pia katika kipindi cha mashindano ya kucheza nchini Kenya 'Sakata' pia anafanya kazi na Coca Cola Club 254 with Airtel na Coca Cola.Kimuziki hivi sasa anafanya poa na ngoma ya 'Vidonge'

    No comments:

    3500K