• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, December 10, 2012

    KUNDI JIPYA LA WASANII WA KIKE LILILOKO CHINI YA PRODUZA LAMAR WA FISHCRAB



    Wasanii wa kundi Jipya la muziki wa bongofleva pichani wakiwa na Produza wao Lamar wa Fish Crab.Kundi hilo jipya ambalo Lamar ndo amelitengeneza ni la wasanii wapyawa kike ambao wako chini ya Fish Crab.Kundi hilo linaenda kwa jina Mashostizi linaundwa na Salma, Menyinah na Nuru.Lamar alisema kuwa tayari ngoma ya kwanza imekwisha kamilika ila anasubiri kutengeneza Video na Adam wa Visual Lab then ndo itatoka kama utambulisho rasmi wa kundi hilo ambalo liko chini yake na kila kitu kuanzia kurekodi audio,video kinagharamiwa na Fish Crab.

    No comments:

    3500K