• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, December 11, 2012

    MSIKILIZE LADYJADEE AKIZUNGUMZIA SABABU YA YEYE YA KUPANGA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO NA LIST YA MILIMA AMBAYO TAYARI AMEKWISHAIPANDA


    Msanii mkali wa kike hapa Bongo Lady Jaydee ameeleza sababu za yeye kuamua kwenda kupanda Mlima Kilimanjaro.Lady Jayde ambaye ana kipindi cha Televisheni kuhusu maisha yake 'Dairy ya Lady Jaydee' kinachoruka EATV kila Jumapili saa 3 kamili usiku pia alitoa list ya milima ambayo ameshawahi kuipanda.Lady Jaydee alisema kuwa safari yake ya kupanda Mlima Kilimanjaro na kila kitu kuanzia mipango ya upandaji mlima, safari yote nzima itaonyeshwa kwenye kipindi cha 'Dairy ya Lady Jaydee' ambacho pia kinadhaminiwa na Zante

    No comments:

    3500K