• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, December 3, 2012

    Kila tarehe 3 December ni siku ya Kimataifa ya walemavu Duniani,

    Kila tarehe 3 December ni siku ya Kimataifa ya walemavu Duniani, inasemekana kuwa zaidi ya asilimia 15 ya Idadi ya watu duniani ni walemavu ndo kwamaana Umoja wa Mataifa(UN)walitenga siku hii kwaajili yao.
     Kundi la Mabaga fresh kutoka hapa nyumbani ambao wana ngoma kali kama 'Tunataabika' 'Mtulize' Ni kati ya watu wenye ulemavu ambao tunajivunia kwasababu wameweza kuthibitisha katika jamii yetu kuwa Ulemavu si kushindwa 'Disability is not Inability'.Pamoja na hali waliyonayo lakini wana miaka kama 10 kwenye gemu na je unajua kuwa hawa ndo walimpeleka Juma Nature Bongo Records kwa Majani?.Tukiwa leo tunaadhimisha siku hii tutambue mchango wa Mabaga Fresh katika muziki wa bongofleva
     Tuadhimishe Siku ya Walemavu kwa kutambua umuhimu wa walemavu katika familia na jamii zetu, tuwaheshimu,tuwapende kama watu wengine.

    No comments:

    3500K