Kala Jeremiah baada ya kufanya vizuri katika ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God,sasa leo
ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka na
album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.Na hapo chini anaonyesha
cover yake mpya ya hiyo album.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment