• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, November 15, 2012

    DADDY OWEN Ashinda Million mbili kwenye Kisima


    Mkali wa muziki wa Injili Daddy Owen Aliyejitoa kwenye tuzo za muziki za kisima ilikuwapa nafasi wasanii wengine wanaochipukia kupata nafasi ya kushinda ameshinda million mbili za Kenya kupitia wimbo wake wa `Mbona' alioshirikishwa Denno. Performance yake ya hii ngoma kwenye tuzo za kisima ndio imempa ushindi huu na nusu ya pesa hizi zitaenda kwa aliyeshirikishwa ambaye ni Denno na nyingine zitaenda kwenye mfuko wa Taasisi ya Mbona .[ The Mbona Foundation]

    No comments:

    3500K