• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, November 28, 2012

    ALICHOSEMA MAMA YAKE RAY C BAADA TAARIFA KUENEA KWAMBA MWANAE KAFARIKI.

    Usiku wa novemba 27 2012 nilipigiwa simu zaidi ya 20 za watu mbalimbali waliotaka kufahamu ukweli wa taarifa za kifo cha mwimbaji Ray C, ni taarifa ambazo zilisambaa sana hata kwenye mitandao ya kijamii pia ambapo mama yake mzazi alipata nafasi ya kuongea baada ya uvumi huo kuenea.
    Namkariri mama Ray C akisema “inasikitisha sana kusikia taarifa hizo, Ray C ni mzima kabisa namshukuru Mungu anaendelea vizuri na matibabu tuko nae, anakula vizuri anapata usingizi vizuri, hizo habari zimetoka wapi? nazikanusha kabisa kwa jina la Yesu nalikataa hilo neno”

    No comments:

    3500K