• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, October 22, 2012

    Tunda Man Sasa Ni Maneja wa Msanii Chid Benzi..Je Ataweza Kumrudisha Katika Game?






    Kupitia blog yake, muimbaji Khalid Ramadhan Tunda aka Tundaman ametangaza kuwa yeye ndiye msimamizi rasmi wa kazi za rapper Chidi Benzi kwa sasa.

    “Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.”

    Unaamini Tundaman anaweza kumrudisha Chidi kwenye game? tupe maoni yako

    No comments:

    3500K