• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 19, 2012

    SIJUI IDADI YA WANAUME NILIOSHIRIKI NAO KIMAPENZI KWA KUWA NI WENGI...."ANT LULU".

    Photo: SIJUI IDADI YA WANAUME NILIOSHIRIKI NAO KIMAPENZI KWA KUWA NI WENGI...."ANT LULU".

Mwanadada asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Remagongo 'Ant Lulu' ametoa kauli ya mwaka na kusema kuwa hajui idadi ya wanaume alioshiriki nao kimapenzi kwa kuwa ni wengi.
Ant Lulu amesema amefanya hivyo kwa kushirikiana na wanaume mastaa na wasio mastaa hali ambayo huwa inasababisha asikumbuke idadi yao.
" Kwa kweli sikumbuki, ila ambaye nilidumu naye kwa muda mrefu kiasi ni bondia ambaye ndiye alinivalisha pete, Lakini niliivua baada ya kunipiga na kunipasua usoni" Alisema Lulu ambaye alipata umaarufu kupitia shindano la kucheza la KIMWANA MANYWELE 2006 kabla ya kuhamia kwenye uigizaji filamu. 
     Mwanadada asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Remagongo 'Ant Lulu' ametoa kauli ya mwaka na kusema kuwa hajui idadi ya wanaume alioshiriki nao kimapenzi kwa
    kuwa ni wengi.
    Ant Lulu amesema amefanya hivyo kwa kushirikiana na wanaume mastaa na wasio mastaa hali ambayo huwa inasababisha asikumbuke idadi yao.
    " Kwa kweli sikumbuki, ila ambaye nilidumu naye kwa muda mrefu kiasi ni bondia ambaye ndiye alinivalisha pete, Lakini niliivua baada ya kunipiga na kunipasua usoni" Alisema Lulu ambaye alipata umaarufu kupitia shindano la kucheza la KIMWANA MANYWELE 2006 kabla ya kuhamia kwenye uigizaji filamu.

    No comments:

    3500K