• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 19, 2012

    HEMEDI: NAWEKA PEMBENI MZIKI.

    Photo: HEMEDI: NAWEKA PEMBENI MZIKI.

Mwigizaji na mwanamziki Hemedi suleiman amesema kwa sasa anaweka pembeni shughuli zake za mziki na anaelekeza nguvu zote kwenye uigizaji wa filamu.
Mwenyewe alisema 
"Hivi sasa napeleka nguvu zangu kwenye tasnia ya filamu zaidi kwani huku sina mpizani anayeweza kunifunika".

#Wadau hivi ni kwel Hemedi hana mpizani kwenye muziki..? 
     
    No comments:

    3500K