• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 19, 2012

    MSANII AMBAYE ALIMFANYA LUCKY DUBE KUINGIA KWENYE MUZIKI WA REGE ALIZALIWA LEO


    Leo ni siku ya kuzaliwa ya msanii wa Reggae Peter  Tosh aliyemuinspire Lucky Dube ambaye jana alikuwa anatimiza miaka 5 tangu afariki kuingia kwenye muziki wa Reggae.Peter Tosh alizaliwa tarehe kama ya leo mwaka 1944, alifariki mwaka 1987 akiwa na miaka 42 kwa kuuwawa na majambazi.
    Kabla ya kuamua kufanya kazi zake mwenyewe Peter Tosh alikuwa kwenye bendi ya The Wailers ya marehemu Bob Marley ambapo aliandika ngoma kali kama s "Get Up, Stand Up", "400 Years", and "No Sympathy".

    No comments:

    3500K