• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, October 22, 2012

    HEMEDY PHD KUBUNI NGUO ZA NDANI ZA WANAWAKE.

    Photo: HEMEDY PHD KUBUNI NGUO ZA NDANI ZA WANAWAKE.

Msanii wa Bongo fleva aliyekiri kuwa na mashabiki wa kike zaidi anampango wa kubuni nguo za ndani za wanawake.
Ubunifu huu na nguo hizi amezipa jina la Feed Good Inside by PHD yani jisikie vizuri ndani kwa lugha ya kiswahili.
Hemedy amesema wazo la kubuni mavazi alikuwa nalo kwa muda mrefu sana na ukizangatia anapenda sana na kuvaa na kupendeza so mitindo nikitu anataka kufanya kama sehemu ya kazi zake.
Pia PHD amesema toka akiwa shule ya sekondari. 
Wabunifu wengi mpaka sasa wanabuni na kutengeneza nguo za nje kama mashati na suti, Nanukuu maneno machache ya hemedy
"Nachotaka kufanya kama hemedy lazima kiwe tofauti sana na ndio maana natengeneza nguo za ndani za wanawake".
Nguo atakazo buni na kutengeneza hemedy ni bra(sidilia) na chupi za wanawake tu.
Fahamu kuwa nguo za ndani anazovutiwa nazo zaidi hemedy ni BIKINI. 
     Msanii wa Bongo fleva aliyekiri kuwa na mashabiki wa kike zaidi anampango wa kubuni nguo za ndani za wanawake.
    Ubunifu huu na nguo hizi amezipa jina la Feed Good Inside by PHD yani jisikie vizur

    i ndani kwa lugha ya kiswahili.
    Hemedy amesema wazo la kubuni mavazi alikuwa nalo kwa muda mrefu sana na ukizangatia anapenda sana na kuvaa na kupendeza so mitindo nikitu anataka kufanya kama sehemu ya kazi zake.
    Pia PHD amesema toka akiwa shule ya sekondari.
    Wabunifu wengi mpaka sasa wanabuni na kutengeneza nguo za nje kama mashati na suti, Nanukuu maneno machache ya hemedy
    "Nachotaka kufanya kama hemedy lazima kiwe tofauti sana na ndio maana natengeneza nguo za ndani za wanawake".
    Nguo atakazo buni na kutengeneza hemedy ni bra(sidilia) na chupi za wanawake tu.
    Fahamu kuwa nguo za ndani anazovutiwa nazo zaidi hemedy ni BIKINI.
     Maelezo zaidi ingia hapahttp://www.leotainment.blogspot.com

    No comments:

    3500K