• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, October 22, 2012

    HEBU TAZAMA HUKU DIAMOND ALIPOANZIA MUZIKI

    Daah! Maisha ni safari ndefu sana ndugu zangu na hakuna anae jua wapi anaelekea wala aliyezaliwa anajua chochote,siku zote mwanzo huwa mgumu sana ukiongeza na maneno ya watu ya kukukatisha tamaa basi ndio unazidi kuyaona Maisha magumu na kukata tamaa na kujiona huwezi kabisaaaa! MSIKILIZE DIAMOND ANASEMA>>>>>Mimi wakati naanza muziki nilikutana na mambo mengi sana ya kukatisha tamaa lakini siku zote sikuchoka kumuomba Mwenyezi Mungu anisaidie na kuzidisha juhudi kila dakika..... Naitumia nafasii hii pia kuongea na wasanii wachanga wanaochipukia kwenye sanaa ya muziki wasikate tamaa na hizi ni kama nguzo zinazoweza kukufanya angalau kupiga hatua.....Kwanza kabisa ni Maombi,Uvumilivu,Juhudi,Ubunifu na Heshima inahitajika sana.....Ukiangalia Video yangu ya Toka mwanzo na hiyo ya Mawazo niwazi kabisa utajionea utofauti mkubwa sana na utakubaliana na mimi ama kweli MAISHA NI SAFARI NDEFU SANA. ALISEMA DIAMOND** FILEX MMARI NEWZ

    No comments:

    3500K