• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, October 28, 2012

    H BABA ANATARAJIA KUFANYA COLLABO NA FALLY IPUPA.


    NEWZ>>>FILEX MMARI



    Photo: H BABA ANATARAJIA KUFANYA COLLABO NA FALLY IPUPA.

Najug twamfahamu vema h baba jinsi anavyoondoka na style za dance katika muziki wa hapa Bongoland mpaka kupelekea mashabiki wengi kumkubali, siku za hivi karibuni msanii huyu aliamua kufunguka na kusema kwamba sasa hivi ana michakato ya kumalizia mipango yake ya ndoa baada ya hapo ndipo ataanza rasmi kuongea na Fally Ipupa ili wafanye collabo kwa pamoja katika ngoma mpya.
Lakini h baba hakuweza kueleza kwamba itakuwa ni ngoma gani kwani alisema tu kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kile ambacho anachotaka kukiandaa.
Tunamtakia all the best. 
     Najug twamfahamu vema h baba jinsi anavyoondoka na style za dance katika muziki wa hapa Bongoland mpaka kupelekea mashabiki wengi kumkubali, siku za hivi karibuni msanii huyu aliamua kufung
    uka na kusema kwamba sasa hivi ana michakato ya kumalizia mipango yake ya ndoa baada ya hapo ndipo ataanza rasmi kuongea na Fally Ipupa ili wafanye collabo kwa pamoja katika ngoma mpya.
    Lakini h baba hakuweza kueleza kwamba itakuwa ni ngoma gani kwani alisema tu kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kile ambacho anachotaka kukiandaa.
    Tunamtakia all the best.

    No comments:

    3500K