• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, October 7, 2012

    Angalia PICHA...Rick Rose akiwa HOTELINI ALIKOFIKIA


    Hapo Rick ross akiwa katika  msafara wa magari akipelekwa katika Hotel ya
     kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko.
    Rozay akiwa amewasili katika hotel ya kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko na watu wake aliokuja nao
     kutoka pande za state wakiwa wanatoa mizigo katika gari.
    Muonekano wa The boss baada ya kuwasili  katika hotel ya kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko
    Hapa Rick ross akiwa ndani ya lift akielekea juu kwa ajili ya mapumziko baada ya kuwasili jijini
     Dar es Salaam usiku huu.
                 Hii ndiyo hotel ambayo mtu mzima The boss ndiyo dzain amepumzika hapo kwa jili ya show 
    yake ya Serengeti Fiesta ddaaaaaaaaaaaahh!!!!!!! bhhaaaaasss!!!! kwelli muonekano mpya,burudani ile ile

    No comments:

    3500K