• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, September 2, 2012

    Video ya IZZO BIZNESS "UTARUDISHWA" soon kwenye runinga yako


    Izzo Bizness msanii wa hip hop kutoka Bongo baada ya kuachia video ya MWAKA JANA sasa yuko tayari kabisa kuachia video nyingine ambayo imebeba jina la UTARUDISHWA ambapo ndani ya wimbo huo amemshirikisha msanii kutoka Morogoro Belle 9. Video hii imetengenezwa na yule yule Dir ambaye alifanya video ya mwaka jana anajulikana kwa jina la Nick Dizzo kutoka E-Media.

    No comments:

    3500K