• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, September 2, 2012

    Ndoa ya Rose Ndauka Soon


    Rose Ndauka akiwa na mchumba wake Malick Bandawe.
    Na Erick Evarist

    MUME mtarajiwa wa staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka, Malick Bandawe ameweka ‘plain’ kuwa licha ya kuwepo na utata wa hapa na pale, ndoa yake na mwigizaji huyo bado iko palepale.

    Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni katika ofisi zao za Ndauka Entertainment zilizopo Kinondoni jijini, Dar, Malick, alisema ndoa hiyo itafungwa mwezi Novemba mwaka huu.

    “Ndoa ipo palepale, kila kitu kitakuwa sawa Novemba mwaka huu. Familia zote mbili zimeshabariki ndoa hii kilichobaki ni maandalizi tu,” alisema…

    No comments:

    3500K