Kupitia
katika website ya msanii huyu namzungumzia Lady gaga A.k.A Mother
monster kutoka pande za state ali post katika mtandano wake na kuweka
picha hii na kusema kwamba amepiga new tatoo ambazo tatoo hizo kwa hapa
bongo zinafahamika kwa jina la Nanga.
Wednesday, September 5, 2012
Home
Unlabelled
HII NDIYO TATOO MPYA YA LADY GAGA
No comments:
Post a Comment