• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, September 6, 2012

    DIAMOND AKIFANYA VITU VYAKE NCHINI MAREKANI

    .
                                        Diamond akiwa nchini marekani Washington dc akifanya vitu vyake kwa mashabiki wake waliokuja katika show yake huko nchini marekani.

    Diamond  kwenye stage sasa akiwaambia mashabiki wake haya wale wa moyo wangu sasa tuimbe wote  haya twendeee.hiyo ni  show ya diamond nchini marekani pamoja na dancer wake.
     Diamond na dancer wake wametisha mbaya katika show yao ambayo ilikuwa inafanyika nchini marekani Washington DC.
    Diamond wa wasafi akiimba na mashabiki wake nchini marekani Washington Dc.

    No comments:

    3500K