• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, August 31, 2012

    TAARIFA ya T.I.D kutaka KUMUUA ALIKIBA


    Habari ambazo zimesambaa mtaani hasa maeneo ya Kariakoo Jijini Dar es salaam, zinamhusu msanii wa muziki wa kizazi Ali Kiba, inasemekana kwamba Hivi karibuni Familia yake inayoishi Kariakoo karibu na Club ya Soccer ya YANGA, eti walivamiwa na Majambazi/ Wauaji huku wakiwa na Silaha za Moto/ Bunduki, sasa inasemekana mpaka sasa hivi kuna mwanamke amekamatwa akihusishwa na Tukio hilo na inasemakana kwamba Jeshi la Polisi lilipo Jaribu kumhoji Mwanamke huyo akajibu kuwa eti wametumwa na Msanii Khalid Mohammed/ TID eti wakamuue Ali Kiba, Mwanamke huyo anashikiliwa na Polisi na Leo TID ameitwa Polisi kwa mahojiano zaidi, Gazeti la Makorokocho lilipojaribu kuongea na Pande zote Mbili TID na Ali Kiba, Tid alijibu yeye hajui chochote na anashangaa kuhusishwa na Tukio hilo ukizingatia yeye hana beef yoyote na Ali Kiba, na Upande wa Ali Kiba ulipovutiwa wire wakasema muda ukifika ndio watatoa Taarifa rasmi kwa umma. skiza hapo chini You Heard ya Leo Gossip Cop alivyopiga nao story ndani ya XXL ya Clouds fm:

    No comments:

    3500K