• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, August 14, 2012

    MAFANIKIO YA FERUZ NI KUTOKANA NA MASHATI YA SHULE?


    Baada ya kupotea kwa mda katika game ya mziki, na hata watu wengine kudiriki kumzungumzia amefulia, mzee kwa kutiririka Feruz is back kwenye game, na kuonyesha still he can do it,baada ya kuachia pini linalosumbua kinoma (ndege mtini) na hata kuonyesha mafanikio yakianza kuchanua upya na kuonekana akisukuma ndinga.
    si unajua binaadam siku zote tuna mitazamo tofauti,

    No comments:

    3500K