• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, July 17, 2012

    Picha za Ajali ya Jana iliyo tokea Sumbawanga kuelekea Mpanda ambapowatu Sita walifariki hapo hapo.



     Mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya lori la mizigo iliyotokea jana katika kijiji cha Ntendo, Christina Mbaule (33) akiwa na mtoto wake Subesto Sinkala (1) wakiwa wamelazwa katika wodi namba sita kwenye hospitali ya mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.

    Baadhi ya wananchi wakiangalia gari aina ya lori lenye namba za usajili T 779 BTV lililotumbukia kwenye mto Lukangao jana baada ya kushindwa kupanda mlima na kusababisha vifo vya watu sita hapo hapo na wengine 20 kujeruhiwa vibaya. Picha na Mussa Mwangoka wa Rukwa yetu Blog
                                                 SOURCE http://rukwayetu.blogspot.com

    No comments:

    3500K