• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Saturday, July 7, 2012

    AJALI HAINA KINGA ,MWENDESHA BODA BODA AGONGWA IRINGA


    Wasamaria wema wakazi wa Manispaa ya Iringa wakimsaidia mmoja kati ya vijana waendesha piki piki (Boda boda) ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja baada ya kijana huyo kugongwa na lori eneo la Ipogopo katika Barabara kuu ya Iringa -Mbeya
    Kijana huyo amepata madhara makubwa kichwani ikiwa ni pamoja na meno yake kung'oka baada ya kugongwa na lori hilo japo sababu kubwa ya kuumia zaidi kichwani ni kutokana na kuendesha piki piki bila kuvaa Helmenti
    Kijana huyo akitoka chini ya uvungu wa lori baada ya kugongwa na lori jingine na kujikuta akiingia chini ya lori jingine lilolokuwa limeegeshwa eneo hilo
    Hali ya piki piki aliyokuwa akitumia kijana huyo
    Hapa akiingia katika Taxi kwa ajili ya kukimbizwa Hospitali kwa matibabu zaidi
    You might also like:

    No comments:

    3500K