4. Sasa hii inamaanisha nini sijui, by the way, am completely out, i give no damn to politics. 5. Jamaa anatafutaka kazi kwa ushahidi wa hali ya juu sana, kachoka kunyanyaswa. Daah, jombaaa.
6. Watoto hawa bana sijui wamejuaje..? Kaazi kwenu wazazi kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa hapo nyumbani.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment