• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, June 8, 2012

    VIJANA WALIOJITAMBIJULISHA LEO CLOUDS FM/TV KUWA NI FREEMASON HAWA HAPA!!

    Ilikuwa kama muvi vile ndugu hawa walipoanza kusimulia kupitia clouds media jinsi ya wao walivyojiunga na mlengwa wa kushoto wa maisha kama watu wanavyodai hapa tukizungumzia Kuabudu freemason kwenye maisha yao. Kwenye maelezo yao hawa jamaa inaonekana kabisa hawakujipanga kutoa taarifa zilizo rasmi kwani walikuwa wakikinzana kwenye kutoa maelezo waliyodhamiria kuyatoa ambapo walikuwa wakieleza jinsi mlengwa huo unavyofanya kazi na wao wakiwa kama wafuasi wa mlengwa huo ambapo walitinga studioni mwa Clouds media wakiwa na laptop yao iliyoonesha baadhi ya mambo. Lakini wakati wa mahojiano na Zamaradi Mketema walieleza kuwa mwanachama wa mlengwa huo
    ni wa dini yeyote aidha awe Muislamu au Mkristo na ndipo lilipokuja swali kwamba "Basi mwanachama wa mlengwa huo na kundi lake hawana ibada?" wakajibu huwezi kuwa Mromani kama hufanyi ibada za Kiromani! Hivyo freemason lazima aje kwa ibada na kushindwa kueleza hasa mlengwa huo unavyofanya kazi zake,!! Picha ni za jamaa hao wakiwa wanahojiwa wakati wa kipindi cha leo tena cha Dinna

    No comments:

    3500K