• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, June 11, 2012

    USIKU WA ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM @NEW MAISHA CLUB

    *Kwa steji ni Sultani KING kutoka Zanzibar*, huu ulikuwa usiku wa ZNZ na Dar ambapo walishushwa wasanii wakubwa nikimaanisha kiumri yaani ma bibi zetu mmoja kutoka Zanzibar namzungumzia Bibi Kidude na kutoka Dar alikuwa Bibi Cheka, walisindikizwa na wasanii wadogo na show ilikuwa hot...endelea kutizama picha *Kwa steji ni Mabeste* *kwa steji Bi Kidude akiingia tayari kwa show* *Bibi Cheka kwa steji na Mh Temba* * Makomandoo kwa steji* *Cyrill na Wakacha kwa steji* Nyandu tozi kwa steji Young D

    No comments:

    3500K